+na+Thobeka+Mabhija+washuhudia+mume+wao+akiapishwa+kuwa+Rais.jpg)
Wake wa Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli(kushoto) na Thobeka Mabhija wakishuhudia mume wao akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini, kwa kweli wazuri na wamependeza.
JACOB ZUMA na Waziri Mkuu wa Uingereza Gordon Brown wakipeana mikono ,wakiwa ni wenye furaha ya aina yake .
Rais wa Chama cha African National Congress -ANC, ambaye pia ni Rais Mteule wa Afrika Kusini JACOB ZUMA akicheza muziki katika moja ya kampeni zake mjini Johannesburg na pembeni anaonekana Rais Mstaafu wa nchi hiyo NELSON MANDELA(MADIBA)mwenye umri wa miaka 90 ambaye waliwapa mshangao wafuasi wa ANC kuja katika kampeni hizo ambayo ikikuwa ni mwishino kabisa