Thursday, May 21, 2009

FULL KUPENDEZA


Wake wa Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli(kushoto) na Thobeka Mabhija wakishuhudia mume wao akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini, kwa kweli wazuri na wamependeza.

Saturday, May 9, 2009

ZUMA ALA KIAPO CHA KUWA RAIS.

Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,JACOB ZUMA ala kiapo cha kuwa Rais wa Afrika Kusini.

Friday, May 8, 2009

FUL VICHEKO !!!!

JACOB ZUMA na Waziri Mkuu wa Uingereza Gordon Brown wakipeana mikono ,wakiwa ni wenye furaha ya aina yake .

ZUMA AKISAKATA DANSI!

Rais wa Chama cha African National Congress -ANC, ambaye pia ni Rais Mteule wa Afrika Kusini JACOB ZUMA akicheza muziki katika moja ya kampeni zake mjini Johannesburg na pembeni anaonekana Rais Mstaafu wa nchi hiyo NELSON MANDELA(MADIBA)mwenye umri wa miaka 90 ambaye waliwapa mshangao wafuasi wa ANC kuja katika kampeni hizo ambayo ikikuwa ni mwishino kabisa

Bunge la Afrika Kusini tayari limemchagua JACOB ZUMA kuwa Rais mpya wa nchi hiyo.
Bwana ZUMA alichaguliwa kwa kura 277- hiyo ni kura 13 zaidi ya viti vinavyodhibitiwa na ANC bungeni.

Zuma anatarajiwa kuapishwa kesho kushika wadhifa huo wa Urais.