Ki ukweli wadau nimependa sana jinsi hina na piko ilivyopakwa kapendeza sana japo kuwa sura yake haijaonekana ,nahisi hata mimi nikipa nitapendeza sana, wadau nami nitapaka alafu nitapiga picha muone jinsi itakavyonitoa.
Rais Ahmed Abdallah Sambi wa visiwa vya Comoro akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim eneo la Hayaya kisiwani Ngazija jana kuanza ziara ya siku tatu. (Picha na Freddy Maro
Maharusi wakikata keki baada ya kutoka kanisani kula kiapo cha kufa na kuzikana. Ukweli huyo dada nampenda sana hasa katika filamu zake ambazo tayari nimeziona anajua nini hasa anakifanya katika kazi yake jamani wabongo na hasa waigizaji wa filamu ebu tuige mfano wa huyo dada.
Ini Edo akiwa na mumewe kwa kweli wametoka mchicha ile mbaya jamani kuolewa raha!